• help@trodpharmacy.co.tz
  • +255755258486 |+255734679073

Kwanini sisi?

Kwanini uchague huduma zetu
TROD PHARMACY

Kwa muda mrefu sana huduma ya afya ni Idara nyeti hivyo basi inahitaji watu sahihi haswa katika kujua thamani ya mteja tunatoa huduma za dawa kwa mteja kwa bei nafuu ili kuokoa maisha.

Ili kutoa kwa faida dawa bora na za bei nafuu ili kuunda idadi ya watu wenye afya bora katika jamii tunazohudumia.

Sifa Muhimu

Mambo muhimu tunayo zingatia wakati wa utoaji | kukupa huduma.

Upimaji

Kupima afya ya mwili mzima mara kwa mara kumekuwa kukiambatana na kutambua baadhi ya magonjwa mapema zaidi na kuyapatia tiba.

Maelezo ya Daktari

daktari wako wa familia / au daktari bingwa anaweza kukupatia cheti cha madawa. Unapaswa kupeleka cheti hichi kwa duka la dawa au famasia.

Dawa sahihi

Linapokuja suala la kuagiza dawa,daktari wako,Mtu huyu ni daktari au ana sifa nyingine zinazomruhusu kuagiza dawa.

Matokeo ya dawa

Matumizi sahihi ya dawa ni kufuata kanuni, taratibu na maelekezo yote sahihi kutoka kwa tabibu wa afya.