• help@trodpharmacy.co.tz
  • +255755258486 |+255734679073

Huduma Zetu

Huduma zetu

Tuna toa ushauri juu ya matumizi ya dawa kwa usahihi iliuweze kupona kwa haraka | Tunatoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa mahututi ili uweze kufika hospitali kwa huduma zaidi | Tunazingatia usiri baina ya muhudumu wetu na mteja wetu | Huduma bora ni haki yako.

VIPIMO
MAELEZO
AGIZA DAWA
DAWA BORA
HUDUMA ZA HARAKA
DAKTARI

Sifa Muhimu

Mambo muhimu tunayo zingatia wakati wa utoaji | kukupa huduma.

Maelezo

Kupima afya ya mwili mzima mara kwa mara kumekuwa kukiambatana na kutambua baadhi ya magonjwa mapema zaidi na kuyapatia tiba.

Maelezo ya Daktari

daktari wako wa familia / au daktari bingwa anaweza kukupatia cheti cha madawa. Unapaswa kupeleka cheti hichi kwa duka la dawa au famasia.

Dawa sahihi

Linapokuja suala la kuagiza dawa,daktari wako,Mtu huyu ni daktari au ana sifa nyingine zinazomruhusu kuagiza dawa.

Matokeo ya dawa

Matumizi sahihi ya dawa ni kufuata kanuni, taratibu na maelekezo yote sahihi kutoka kwa tabibu wa afya.