Huduma zetu

Tuna toa maelezo juu ya matumizi ya dawa kwa usahihi iliuweze kupona kwa haraka | Tunatoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa mahututi ili uweze kufika hospitali kwa huduma zaidi | Tunazingatia usiri baina ya muhudumu wetu na mteja wetu | Huduma bora ni haki yako.

MAELEZO
HUDUMA YA HARAKA
AGIZA ULETEWE

Kwanini uchague huduma zetu
TROD PHARMACY

Kwa muda mrefu sana huduma ya afya ni Idara nyeti hivyo basi inahitaji watu sahihi haswa katika kujua thamani ya mteja tunatoa huduma za dawa na matibabu kwa mteja kwa bei nafuu ili kuokoa maisha.

Ili kutoa kwa faida dawa bora na za bei nafuu ili kuunda idadi ya watu wenye afya bora katika jamii tunazohudumia.

Sifa Muhimu

Mambo muhimu tunayo zingatia wakati wa utoaji | kukupa huduma.

Maelekezo

Kupima afya ya mwili mzima mara kwa mara kumekuwa kukiambatana na kutambua baadhi ya magonjwa mapema zaidi na kuyapatia tiba.

Maelezo ya Daktari

Daktari wako wa familia / au daktari bingwa anaweza kukupatia cheti cha madawa. Unapaswa kupeleka cheti hichi kwa duka la dawa au famasia.

Dawa sahihi

Linapokuja suala la kuagiza dawa,daktari wako,Mtu huyu ni daktari au ana sifa nyingine zinazomruhusu kuagiza dawa.

Matokeo ya dawa

Matumizi sahihi ya dawa ni kufuata kanuni, taratibu na maelekezo yote sahihi kutoka kwa tabibu wa afya.

Ushuhuda

Mapendekezo kutoka kwa wateja.

Nsajigwa John
Managing Director

TROD wanatoa huduma ndani ya muda muafaka, bila ya kuchelewesha au kupotezewa muda wako

Anayah Ngabhile
Pharmacist Technician

Proffessional and friendly customer service!

Sean Gwamaka

Technician

Wanakuletea dawa popote ulipo na bila kuchelewa.